Sunday, 11 February 2018

Chirwa sasa basi.. Hii ndio hatma ya Chirwa kuhusu kupiga penati za Yanga

Mabingwa wa soka Tanzania bara Young Africans wameshindwa kuendelea kuonyesha ubabe baada ya kupata ushindi finyu katika mechi yao ya Ligi ya mabigwa Afrika dhidi ya St. Louis....

The 2018 best Valentines Day messages worldwide..

Happy Valentine's Day to the most special person in my life. You are my love, my heart and my joy. You make my heart feel as light and carefree as a butterfly floating through the air on a sweet spring day. I cherish the gift of love that we have been given, and the happiness you provi...

Saturday, 11 February 2017

Sababu tatu zitakazofanya Liverpool kufungwa na Tottenham

Liverpool itasitisha wendawazimu wake wikiendi hii? Au Tottenham wataibuka washindi katika uwanja wa Anfiel...

Hii ni Historia ya Yanga dhidi ya timu za Comorro

Smart inakuletea mechi 3 za Yanga walizowahi kucheza dhidi ya Wakomoro Klabu ya Yanga inajiandaa na mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Ngaya de Mbe ya Komoro, mchezo wa hatua ya awali unaotarajiwa kupingwa tarehe 12 huko Komo...

Friday, 10 February 2017

Tanzania yaporomoka viwango vya FIFA

Tanzania kuangukia nafasi ya 158 ikiwa na pointi 152 katika orodha ya Februari, 2017 inamaanisha imeshuka kwa nafasi mbili zaidi kutoka ya 156 Tanzania imezidi kuporomoka katika orodha ya viwango vya soka inayotolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kufuatia kuangukia nafasi ya 158 baada ya Januar...

Simba yatangaza mchakato wa mrithi wa Mwanjale

Klabu ya Simba imetangaza kuanza kwa mchakato wa kumpata mchezaji bora wa mwezi January kwa klabu hiyo, mchakato ambao utawahusisha mashabiki wa klabu hiyo ambao watakuwa wakipendekeza majina ya wachezaji hao kupitia ukurasa wa Facebook wa klabu hiyo (Inbox). Kwa mwezi Januari klabu ya SImba imecheza jumla ya michezo saba ambapo miwili kati ya hiyo ni kwenye ligi kuu ya VPL na Mitano kwenye kombe la Mapinduz...

Monday, 14 November 2016

Hawa ndio Mastraika bora mzunguko wa kwanza

Washambuliaji waliotesa katika mzunguko wa kwanza Ligi Kuu Bara Ligi Kuu Tanzania Bara imefika tamati kwa duru la kwanza baada ya klabu zote 16 kucheza michezo 15 ya nyumbani na ugenini&nb...

"First Eleven" Wachezaji 11 waliofanya vizuri Ligi Kuu Bara duru la kwanza

Tunakuletea kikosi cha wachezaji 11 bora waliofanya vizuri duru la kwanza kwa kuzingatia uwezo wa mchezaji, mchango wake kwenye timu na dakika alizo cheza kwa mzunguko mz...

Thursday, 29 September 2016

Pogba needs Jose to axe Fellaini

Jose Mourinho called Manchester United’s Europa League clash with Zorya Luhansk a “must-win” encounter on Wednesday, but their 1-0 victory at Old Trafford had the home fans pulling their hair out for long spells as they watched a team of superstars being undermined by the lack of creativity offered by Marouane Fellain...

Pogba aweka rekodi yake ya pasi Europa Man United ikishinda dhidi ya Zorya

Supastaa huyo wa United mwenye umri wa miaka 23 amezidi kuimarika katika kila mechi anayocheza akiwa na Mashetani Wekun...