Showing posts with label sports. Show all posts
Showing posts with label sports. Show all posts

Saturday, 11 February 2017

Sababu tatu zitakazofanya Liverpool kufungwa na Tottenham













Sababu tatu Liverpool watafungwa na Tottenham Liverpool itasitisha wendawazimu wake wikiendi hii? Au Tottenham wataibuka washindi katika uwanja wa Anfield?

Hii ni Historia ya Yanga dhidi ya timu za Comorro

Yanga Sc


Smart inakuletea mechi 3 za Yanga walizowahi kucheza dhidi ya Wakomoro
Klabu ya Yanga inajiandaa na mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Ngaya de Mbe ya Komoro, mchezo wa hatua ya awali unaotarajiwa kupingwa tarehe 12 huko Komoro

Friday, 10 February 2017

Tanzania yaporomoka viwango vya FIFA

Taifa Stars
Tanzania kuangukia nafasi ya 158 ikiwa na pointi 152 katika orodha ya Februari, 2017 inamaanisha imeshuka kwa nafasi mbili zaidi kutoka ya 156
Tanzania imezidi kuporomoka katika orodha ya viwango vya soka inayotolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kufuatia kuangukia nafasi ya 158 baada ya Januari.

Simba yatangaza mchakato wa mrithi wa Mwanjale

http://michezoplus.com/wp-content/uploads/2017/02/mwanjale.png

Klabu ya Simba imetangaza kuanza kwa mchakato wa kumpata mchezaji bora wa mwezi January kwa klabu hiyo, mchakato ambao utawahusisha mashabiki wa klabu hiyo ambao watakuwa wakipendekeza majina ya wachezaji hao kupitia ukurasa wa Facebook wa klabu hiyo (Inbox).
Kwa mwezi Januari klabu ya SImba imecheza jumla ya michezo saba ambapo miwili kati ya hiyo ni kwenye ligi kuu ya VPL na Mitano kwenye kombe la Mapinduzi.

Monday, 14 November 2016

Hawa ndio Mastraika bora mzunguko wa kwanza

HD Amissi Tambwe
Washambuliaji waliotesa katika mzunguko wa kwanza Ligi Kuu Bara

Ligi Kuu Tanzania Bara imefika tamati kwa duru la kwanza baada ya klabu zote 16 kucheza michezo 15 ya nyumbani na ugenini 

"First Eleven" Wachezaji 11 waliofanya vizuri Ligi Kuu Bara duru la kwanza

Jonas Mkude - Simba
Tunakuletea kikosi cha wachezaji 11 bora waliofanya vizuri duru la kwanza kwa kuzingatia uwezo wa mchezaji, mchango wake kwenye timu na dakika alizo cheza kwa mzunguko mzima

Thursday, 29 September 2016

Pogba needs Jose to axe Fellaini

No way, Jose! Pogba must demand flop Fellaini is dropped
Jose Mourinho called Manchester United’s Europa League clash with Zorya Luhansk a “must-win” encounter on Wednesday, but their 1-0 victory at Old Trafford had the home fans pulling their hair out for long spells as they watched a team of superstars being undermined by the lack of creativity offered by Marouane Fellaini.

Pogba aweka rekodi yake ya pasi Europa Man United ikishinda dhidi ya Zorya

Pogba aweka rekodi yake Europa Man United ikishinda dhidi ya Zorya
Supastaa huyo wa United mwenye umri wa miaka 23 amezidi kuimarika katika kila mechi anayocheza akiwa na Mashetani Wekundu

Hii ndio kauli ya nahodha Jonas Mkude, kuelekea pambano la Simba na Yanga

Jonas Mkude wa Simba akishangilia 2016
Mkude amesema mwendokasi wanaokwenda nao ndiyo kama kauli mbiu msimu huu kwani wamedhamiria kufuta ukame wa mataji Msimbazi

Theo Walcott aweka rekodi Ligi ya Mabingwa Uefa


Theo Walcott aweka rekodi Ligi ya Mabingwa Uefa
Walcott amefunga magoli mawili kwa mara ya kwanza katika mechi moja ya UEFA tangu Oktoba 2007 alipofanya hivyo dhidi ya Slavia Prague

Tuesday, 13 September 2016

Jinsi kikosi cha Yanga kinavyompa hofu Omog

Kikosi cha Yanga champa hofu Omog
Pamoja na kikosi chake kufanya vizuri kwenye mechi za ligi ya Vodacom lakini hofu ya Omog ipo kwa mabingwa watetezi Yanga

The Argentine hit a brilliant hat-trick in 7-0

Friends reunited - Messi, Suarez & Neymar bring back feel-good factor as Barca crush Celtic


It was as if they had never been apart. Lionel Messi, Neymar and Luis Suarez had not started all together for Barcelona since the final of the Copa del Rey on May 22, but they clicked back into gear with an exhibition to crush Celtic on Tuesday.

Paris Saint-Germain 1-1 Arsenal: Alexis salvages a point after horror start

Paris Saint-Germain 1-1 Arsenal: Alexis salvages a point after horror start
Arsene Wenger set out his side in a controversial manner at the Parc des Princes and it seemed to be backfiring when the Gunners lost a goal in record time

Thursday, 26 May 2016

Jose Mourinho signs to Manchester United




Jose Mourinho has agreed terms with Manchester United and will be announced as their new manager on Friday, according to reports.

Wednesday, 23 March 2016

Top 10 Countries With The Most Beautiful Girls In The World.

We all know that beautiful women can be found in any country of the world, but in some countries you’ll see there are more beautiful women than in others. Nevertheless, if you plan on having a vacation soon and you would like to visit a country where you can admire beautiful ladies wherever you go, then in the paragraphs below you’ll be happy to know that we’re going to take a closer look at the Top 10 Countries With The Most Beautiful Girls In The World.

10. Argentina

Argentina

Thursday, 4 February 2016

Van Gaal getting hit by Wayne Rooney.. Funniest clip



https://www.youtube.com/watch?v=mXmP_6cfaaA