Smart inakuletea mechi 3 za Yanga walizowahi kucheza dhidi ya Wakomoro
Klabu ya Yanga
inajiandaa na mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Ngaya de Mbe ya
Komoro, mchezo wa hatua ya awali unaotarajiwa kupingwa tarehe 12 huko
Komoro
Tanzania kuangukia nafasi ya 158 ikiwa na pointi 152
katika orodha ya Februari, 2017 inamaanisha imeshuka kwa nafasi mbili
zaidi kutoka ya 156
Tanzania imezidi kuporomoka katika orodha ya viwango vya soka
inayotolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kufuatia
kuangukia nafasi ya 158 baada ya Januari.
Klabu ya Simba imetangaza kuanza kwa mchakato wa kumpata mchezaji
bora wa mwezi January kwa klabu hiyo, mchakato ambao utawahusisha
mashabiki wa klabu hiyo ambao watakuwa wakipendekeza majina ya wachezaji
hao kupitia ukurasa wa Facebook wa klabu hiyo (Inbox).
Kwa mwezi Januari klabu ya SImba imecheza jumla ya michezo saba
ambapo miwili kati ya hiyo ni kwenye ligi kuu ya VPL na Mitano kwenye
kombe la Mapinduzi.