Saturday, 11 February 2017

Sababu tatu zitakazofanya Liverpool kufungwa na Tottenham

Liverpool itasitisha wendawazimu wake wikiendi hii? Au Tottenham wataibuka washindi katika uwanja wa Anfiel...

Hii ni Historia ya Yanga dhidi ya timu za Comorro

Smart inakuletea mechi 3 za Yanga walizowahi kucheza dhidi ya Wakomoro Klabu ya Yanga inajiandaa na mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Ngaya de Mbe ya Komoro, mchezo wa hatua ya awali unaotarajiwa kupingwa tarehe 12 huko Komo...

Friday, 10 February 2017

Tanzania yaporomoka viwango vya FIFA

Tanzania kuangukia nafasi ya 158 ikiwa na pointi 152 katika orodha ya Februari, 2017 inamaanisha imeshuka kwa nafasi mbili zaidi kutoka ya 156 Tanzania imezidi kuporomoka katika orodha ya viwango vya soka inayotolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kufuatia kuangukia nafasi ya 158 baada ya Januar...

Simba yatangaza mchakato wa mrithi wa Mwanjale

Klabu ya Simba imetangaza kuanza kwa mchakato wa kumpata mchezaji bora wa mwezi January kwa klabu hiyo, mchakato ambao utawahusisha mashabiki wa klabu hiyo ambao watakuwa wakipendekeza majina ya wachezaji hao kupitia ukurasa wa Facebook wa klabu hiyo (Inbox). Kwa mwezi Januari klabu ya SImba imecheza jumla ya michezo saba ambapo miwili kati ya hiyo ni kwenye ligi kuu ya VPL na Mitano kwenye kombe la Mapinduz...