Saturday, 11 February 2017
Sababu tatu zitakazofanya Liverpool kufungwa na Tottenham
Hii ni Historia ya Yanga dhidi ya timu za Comorro
Smart inakuletea mechi 3 za Yanga walizowahi kucheza dhidi ya Wakomoro
Friday, 10 February 2017
Tanzania yaporomoka viwango vya FIFA
Tanzania kuangukia nafasi ya 158 ikiwa na pointi 152
katika orodha ya Februari, 2017 inamaanisha imeshuka kwa nafasi mbili
zaidi kutoka ya 156
Simba yatangaza mchakato wa mrithi wa Mwanjale
Klabu ya Simba imetangaza kuanza kwa mchakato wa kumpata mchezaji bora wa mwezi January kwa klabu hiyo, mchakato ambao utawahusisha mashabiki wa klabu hiyo ambao watakuwa wakipendekeza majina ya wachezaji hao kupitia ukurasa wa Facebook wa klabu hiyo (Inbox).
Kwa mwezi Januari klabu ya SImba imecheza jumla ya michezo saba ambapo miwili kati ya hiyo ni kwenye ligi kuu ya VPL na Mitano kwenye kombe la Mapinduzi.