Monday 1 February 2016

Simba yanukia utajiri


Simba inajaribu kila mbinu ya kuhakikisha inafikia mafanikio, baadhi ya vigogo wa timu hiyo wanapigana kuhakikisha inaondoka kwenye hali ya kutegemea misaada, wakitaka isimame wenyewe hasa kwenye suala la kipato. Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG ambayo ndiyo inayofanya mambo ya masoko ya klabu ya Simba, Imani Kajula ameelezea mambo mbalimbali yaliyofanywa na yanayotegemewa kufanywa ili kuleta mafanikio kwa Simba hasa upande wa uchumi

0 comments:

Post a Comment