Thursday, 4 February 2016
Monday, 1 February 2016
Simba yanukia utajiri
Simba inajaribu kila mbinu ya kuhakikisha inafikia mafanikio, baadhi ya vigogo wa timu hiyo wanapigana kuhakikisha inaondoka kwenye hali ya kutegemea misaada, wakitaka isimame wenyewe hasa kwenye suala la kipato. Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG ambayo ndiyo inayofanya mambo ya masoko ya klabu ya Simba, Imani Kajula ameelezea mambo mbalimbali yaliyofanywa na yanayotegemewa kufanywa ili kuleta mafanikio kwa Simba hasa upande wa uchumi
Mamilioni yatumika kuivuruga Yanga
Mishahara ya wachezaji wote wa Coastal Union, chakula na kambi kwa mwezi ni wastani wa Sh.30 milioni. Straika Mnigeria Abasirim Chidiebele ndiyo mchezaji wa gharama zaidi katika kikosi cha Coastal analipwa Sh.2milioni huku Yanga anayelipwa zaidi anakinga Sh6 milioni.
Mabeki watatu wakali sasa wamchongea Mgosi Simba

Mastraika wa Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi’ na Raphael Kiongera hawajafunga bao lolote msimu huu wakati mabeki hao watatu wote wakiwa wameifungia timu hiyo mabao jambo ambalo linaonekana kama ‘uchonganishi’
Sunday, 31 January 2016
Thierry Henry urges Manchester United to replace Van Gaal with Mourinho

Arsenal's record goalscorer believes the former
Chelsea boss 'guarantees success' and insists a change is required at
Old Trafford this summer
Carrick linked with Manchester United exit

Michael Carrick could leave Manchester United in the summer, The Sun reports.
The midfielder is now free to discuss a pre-contract with other club due to his current deal with United expiring in the summer.






